Saturday, September 22, 2018

WAZIRI LUKUVI AAGIZA KUKAMILISHWA JENGO LA PARADISE COMMERCIAL COMPLEX KABLA YA NOVEMBA

 Waziri wa Ardhi,  Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  William Vangimembe Lukuvi ameagiza ujenzi wa Jengo la Paradise Commercial Complex ukamilike mapema kabla ya mwezi Novemba ili liweze kufunguliwa kwa matumizi ya ofisi na biashara mapema Desemba mwaka huu. Pia amesifu Shirika la Nyumba la Taifa kwa ujenzi wa jengo hilo kubwa na zuri la aina yake mkoani Katavi.





1 comment:

SEKTA YA MADINI YACHOCHEA UCHUMI: MAPATO YAVUKA MALENGO NA MAUZO

  Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma  Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema kuwa Serikali inaendelea kuonesha dhamira ya...