Monday, August 20, 2018

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU EDITH NGURUWE ALIYEKUWA AFISA MAWASILIANO WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

 Bi Edith Nguruwe enzi za uhai wake 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akizungumza kwa niaba ya Shirika kwenye msiba wa Marehemu Edith George Nguruwe aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa Makao Makuu. Marehemu Edith alifariki dunia Ijuma ya Tarehe 17/8/2018.
Mwili wa Marehemu Edith George Nguruwe aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa Makao Makuu ukibebwa kufikishwa makaburi ya Kinondoni jijini Daer es Salaam. Marehemu Edith alifariki dunia Ijuma ya Tarehe 17/8/2018 na kuzikwa leo Agosti 20, 2018.
 Bi Edith Nguruwe enzi za uhai wake.  
Mmoja wa ndugu wa Marehemu akisoma wasifu wa marehemu Edith aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni.

Baadhi ya waombolezaji waliokuwapo kwenye msiba wa Edith George Nguruwe aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa Makao Makuu. Marehemu Edith alifariki dunia Ijuma ya Tarehe 17/8/2018 na akazikwa Jumatatu Agosti 20,2018.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...