Friday, August 31, 2018

NHC KUJENGA NYUMBA 25 ZA WATUMISHI KILIMANJARO

Patrick Mwakasungura akisaini kitabu cha wageni wakati ujumbe wa NHC ulipowasili ofisini kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Mawenzi Mjini Moshi kwa ukaguzi wa maeneo yanayotarajiwa kujengwa nyumba za watumishi. 
Kaimu mkuu wa shule ya sekondari Mawenzi na Meneja wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Juma Kiaramba wakimsikiliza Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Bw. Michael Mwandezi walipofika shuleni hapo kwa ukaguzi wa maeneo ya ujenzi. 

Kikao cha pamoja kati ya maofisa wa NHC wakiongozwa na Patrick Mwakasungura na team ya Mkoa wa Kilimanjaro  wakiwa kwenye kikao na uongozi wa manispaa ya Moshi. 

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...