Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ageline Mabula akiangalia ramani ya nyumba za makazi za awamu ya pili za Iyumbu jana. Naibu Waziri Mabula amefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Ujenzi wa Nyumba inayofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dodoma. wanaomuonyesha ramani hiyo ni Hassan Bendera wa NHC Dodoma na Jaffar Chege wa NHC Dodoma.

Hassan Bendera wa NHC Dodoma, Hassan Bendera akimwelekeza jambo Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ageline Mabula eneo la ujenzi la Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini ERB unaokaribia kukamilika. Ujenzi wa Ukuta wa ERB unafanya na Shirika la Nyumba la Taifa ambapo pia Naibu Waziri Mabula amefanya ziara jana jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment