Tuesday, May 30, 2017

MCHEZAJI GHALI ZAIDI DUNIANI PAUL POGBA AZURU MECCA

Paul Pogba in MeccaMchezaji soka aliye ghali zaidi duniani amefanya ziara ya kihujaji kwenda katika mji mkatatifu zaidi wa Kiislamu, Mecca, wakati wa mwanzo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba alipakia mtandaoni picha yake akiwa Mecca siku ya Jumapili na kuandika "kitu cha kupendeza zaidi nilichowahi kukitazama maishani mwangu."
Aidha, aliandika ujumbe kwenye Twitter kutakia kila mtu "Ramadhani jema."
Pogba, 24, aliibuka mchezaji ghali zaidi katika historia majira ya joto mwaka jana, Manchester United walipowalipa Juventus ada ya £89m ($114m).
Jumatano, alifunga bao na kusaidia Manchester United kulaza Ajax 2-0 na kushinda kombe la ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League mjini Stockholm, Sweden na pia kuwezesha klabu hiyo kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao.
Paul Pogba Januari 2017Haki miliki ya pichaPA
Image captionPogba alivunja rekodi ya thamani ya mchezaji majira ya joto mwaka jana
Baada ya kumalizika kwa msimu wa soka, Pogba alipakia mtandaoni video fupi yake na mkoba na kusema alikuwa "safarini" kwenda kufanya maombi yake.
Pogba anafanya Umrah, ambayo ni safari ya kihujaji ambayo si ya lazima katika dini ya Kiislamu.
Pogba amewahi kuzuru Mecca angalau mara moja awali, ambapo alifanya Haji, safari ya kihujaji ambayo kila Mwislamu aliyekomaa na mwenye afya anafaa kuifanya angalau mara moja maishani.
Mecca unaaminika kuwa mji alikozaliwa Nabii Muhammad, na watu wasio Waislamu hawaruhusiwi kuingia.
Hapa chini ni orodha ya wachezaji walionunuliwa ghali zaidi na kalbu za Ligi ya Premia msimu wa 2016-17:

BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE, SIKONGE MKOANI TABORA LEO

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora leo, kuendelea na ziara yake ya mikoani kukagua na kuimarisha uhai wa chama na Jumuia zake, na pia kuzungumzia masuala ya uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Ndugu Wagasubi na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Sikonge Abisa Mbogo.Katibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akitoa maneno ya utambulizi kabla ya Ndugu Bulembo kuzungumza na Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo leo.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akifurahi jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Ndugu Wagasubi.Utambulisho.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wzazi, Aljah Abdallah Bulembo akiwasilikiza viongozi wa CCM wilaya ya Sikonge, wakati wa kikao cha ndani katika Ofisi ya CCM Wilaya hiyo mkoani Tabora leo Kulia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Emmanuel Alex na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo Abisa MbogoMwenyekti wa CCM Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, Abisa Mbogo akifungua kikao hichoKatibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akikabidhi taarifa ya uchaguzi nchani ya Chama kwa Ndugu Bulembo
Katibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akisoma taarifa hiyoNdugu Bulembo akitoka katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Sikonge, kwa ajili ya kwenda kuongoza kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa ChamaMjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza katika kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama, leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Ndugu Wagasubi na klia ni Mweneyekiti wa CCM Wilaya ya Sikonge bisa MbogoMjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza katika kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama, leo. Katikati ni Mweneyekiti wa CCM Wilaya ya Sikonge Bisa Mbogo na kulia ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo Emmanuel Alex
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza katika kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama, leo. Wajumbe ukumbini.Wajumbe Ukumbini. Picha zote na Bashir Nkoromo

BALOZI WA NAMIBIA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Namibia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Theresia Samaria Balozi wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Balozi wa Namibia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Theresia Samaria Balozi wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
2
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akifuatana na  mgeni wake  Balozi wa Namibia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Theresia Samaria Balozi baada ya mazungumzo yao wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]30/05/2017.

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO LEO MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akipiga picha ya pamoja na ugeni kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) ukiongozwa na Mchungaji Anthony Lusekelo (wa tatu kulia) baada ya kikao kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza jambo wakati alipotembelewa na ugeni kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) ulioongozwa na Mchungaji Anthony Lusekelo (wa pili kulia) katika kikao kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) pale alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.

TWIGA CEMENT KUENDELEA KUWA VINARA WA UZALISHAJI SARUJI LICHA YA KUIBUKA KWA MAKAMPUNI MENGINE NCHINI

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Kampuni ya Saruji nchini ya Tanzania Portland Cement inayozalisha Twiga Cement, imesema kuwa itaendelea kuwa kinara kwa mauzo ya Saruji hapa nchini, licha ya kuwepo wa viwanda vingi katika miaka ya hivi karibuni.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa kampuni hiyo Alfonso Velez, alipokuwa akitoa ripoti ya mauzo ya kampuni hiyo na changamoto inazokabiliana nazo katika mkutano wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

“licha ya makampuni mengine kuja na mpango wa ujanja wa kushusha gharama za saruji bado Twiga Cement imeendelea kuwa ndio saruji bora kwenye soko licha ya changamoto ya kupambana na bei ya soko”

Amesema wao wameshuhudia wakiona washindani wao wakihangaika juu ya upataji wa mali ghafi ambazo zitaweza kuwasaidia kuendelea kufanya bishara kwa bei ya chini lakini TPCC bado haijatetereka.

Amesema kuwa mshindani wake bado ana wakati mgumu kwani yuko mbali na soko na inamchukua muda mrefu kusafirisha mzigo mpaka sokoni hivyo wakati wowote atapandisha bei ya saruji na Twiga itabaki pale pale, kwani ameweza kufanya hivyo katika nchi zingine alizowekeza ambapo amepandisha bei kuwa juu hili kufidia gharama za uzalishaji.
Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya TPCC , Osward Urasa akizungumza katika mkutano huo juu ya wanahisa kutoa taharifa zitakazosaidia kujenga kampuni kuwa imara.
Mwenyekiti wa kampuni ya Tanzania Portland Cement, Alfonso Rodriguez akizungumza katika mkutano huo wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika leo katika hotel ya Ramada
Mkaguzi wa Mahesabu wa kampuni hiyo kutoka kampuni ya Ernerst nd Young , Elibariki Fanuel akieleza juuya mehesabu ya mwaka ya kampuni hiyo
Mkurugenzi wa Twiga Cement Alfonso Velez akizungumza juuya mafanikio ya kampuni hiyo mara baada ya kuwepo ushindani wa makampuni mengine nchini
Sehemu ya Wanahisa katika mkutano huo wakiwa wanasikiliza kwa makini
Profesa akijadili jambo na wakurugenzina uongozi wa juu wa Twiga Cement
Katibu wa kampuni TPCC,Brain Kangeta akizungumza wakati wa mkutano huo wa wanahisa na wateja wa Twiga Cement
Mwanahisa Christopher Mvemo akichangia jambo juu ya kuboresha kampuni hiyo ili izidi kuwa kinara wa mauzo ya Saruji
Mwana hisa , Godfrey Marik akiuliza swali juu ya mipango ya kampuni katika kuhimili ushindani na makampuni mengine
sehemu ya wajumbe wa mkutano huo waliohudhuria

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO LEO MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akipiga picha ya pamoja na ugeni kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) ukiongozwa na Mchungaji Anthony Lusekelo (wa tatu kulia) baada ya kikao kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza jambo wakati alipotembelewa na ugeni kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) ulioongozwa na Mchungaji Anthony Lusekelo (wa pili kulia) katika kikao kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) pale alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.

JENGO LA NHC CHATO LAWEKWA JIWE LA MSINGI NA MWENGE WA UHURU

Jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26 limewekewa jiwe la msingi leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour leo asubuhi. 
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour akiweka jiwe la msingi kwenye jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26. 
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiusubiri mwenge wa uhuru kwenye jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26. 
Wahamasishaji wa mbio za mwenge wakiusubiri Mwenge huo wa Uhuru uwasili katika jengo la Makazi Chato.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Happi akiongoza kwenye mbio za Mwenge wa Uhuru kuelekea kwenye Jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26 limewekewa jiwe la msingi leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour leo asubuhi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Happi akiongoza kwenye mbio za Mwenge wa Uhuru kuelekea kwenye Jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26 limewekewa jiwe la msingi leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour leo asubuhi.
Mwenge wa Uhuru
Mwenge wa Uhuru ukiwa katika jengo la NHC Chato, Kinondoni.


Msoma risala wa Shirika la Nyumba la Taifa, Domina Rwemanyila akisoma risala kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Amour Hammad Amour kwenye  Jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26 limewekewa jiwe la msingi leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour leo asubuhi.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour akiweka jiwe la msingi kwenye jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26. 
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour akikata utepe kwenye jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26. 
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour akiingia kwenye jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26. 
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour akiingia kwenye jengo la Nyumba ya Makazi la NHC Chato, Kinondoni lililopo eneo la Regent Estate Kiwanja nambari 274, Barabara ya Chato, Dar es Salaam linalokaribia kukamilika likiwa na jumla ya nyumba za makazi 26. 

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...