Sunday, November 28, 2010

Mke wa Mzee wa Mshitu apata nondooz


Mdau Eric Anthony ambaye ni Mhariri wa Habari wa HABARILEO (Jumamosi na Jumapili) akipozi na Mzee wa Mshitu, Yahya Charahani,kwenye ukumbi wa Mlimani City ambako Eric alitunukiwa Shahada ya Uzamili katika fani ya Taaluma za Maendeleo (Mipango na Utawala) wakati wa mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.Picha ya John Bukuku.


Mzee wa Mshitu au Yahya Charahani wa Blogu hii akimvisha mkewe shada la maua baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika sanaa na elimu muda mfupi baada ya kutunukiwa shahada hiyo na mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Balozi Fulgence Kazaura mahafari hayo alifanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana /Picha na Jackson odoyo

4 comments:

Mwanasosholojia said...

Hongera mno "ubavu wa Mzee Mshitu" na Mzee wa mshitu mwenyewe!

Unknown said...

mkuu hongera sana!! mpe shemeji hi kibao!!

zitto-kiaratu said...

hongera yahya na family!!! you're the true blogger, we need more like you!!!!

Anonymous said...

Mmm hongera, tulisoma wote chuo. Niliwapenda kwasababu mlikuwa hamkuonyesha cinema za bure. Darasa moja la education! Lakini Cherehani unazeeka, mama unamtunza vema, anawaka mpaka raha.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...