Monday, November 15, 2010

Pinda umechakachuaa hahahahaha


Waziri Mkuu aliyemaliza muda wake, Mizengo Pinda akifurahia jambo na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa walipokutana nje ya ukumbi wa Pius Msekwa bungeni jana mjini Dodoma. Pinda alikwenda kujumuika na wabunge wenzake wa CCM waliokuwa na kikao cha kumteua mgombea wa Naibu Spika kwa tiketi ya chama chao. Picha na Edwin Mjwahuzi

No comments:

NAIBU WAZIRI SALOME ASHIRIKI UFUNGUZI WA GASTECH 2026 BANGKOK

Bangkok, Thailand  Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, leo ameshiriki katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati wa ...