Sunday, November 23, 2008

Mambo ya ngorongoro





Kuna mambo makubwa huko Ngorongoro mdau Alphan Mlacha alikuwapo huko kwa takribani wiki nzima akiwa katika ziara ya kikazi iliyomwezesha yeye na wadau wengine wa habari ambapo walipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ya hifadhi hiyo ya taifa ambayo ina umaarufu mkubwa duniani, juu kabisa waweza kuwaona wamasai wakiwa karibu kabisa na maboma yao, kisha picha zinazofuata zinaonyesha uoto wa wa asili na maboma mengine hii ziara mdau mlacha aliifanya juzi tuu.

1 comment:

John Mwaipopo said...

Hivi hawa wamasai wanajua walau kuwa kuna watu wanapelekwa mahakakamani kwa ajili ya EPA au matumizi mabaya ya ofisi, achilia mbali kujua kuwa wao ni sehemu ya walengwa wa pesa hizo.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...