Utaratibu wa Matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwaajili ya kuimarisha afya, kuunga mkono agizo la Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na kisha kuunga mkono agizo la Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa mwisho mwa wiki hii yalifanyika huku mikoa ya NHC ikiongoza kwa kujitokeza kwa wingi kufanya mazoezi na makao makuu kujitokeza wachache katika matembezi yaliyoanzia jengo la makao makuu ya NHC Kambarage House kuelekea Barabara ya Barack Obama hadi Palm Beach na kuingia Barabara za Ali Hassan Mwinyi, Ohio, Kivukoni Front, Luthuli na baadaye kuelekea kwenye eneo kutakakokuwa na mazoezi ya viungo katika eneo la Sea View Beach (Dengu Beach). Matembezi haya hufanyika kila mwisho wa mwezi na kwa mikoa yote ya NHC ili kuimarisha afya za wafanyakazi na kujenga mshikamano. Matembezi haya yatafanyika tena mwishoni mwa mwezi huu. Pichani ni wafanyakazi wa NHC Tabora.
NHC Singida walijitokeza kufanya matembezi hayo, yakiongozwa na Meneja wa Singida, Nistas Mvungi katika matembezi hayo ya mwisho wa Mwezi.
NHC Musoma walijitokeza kufanya matembezi hayo.
NHC Tanga walijitokeza kufanya matembezi hayo.NHC Musoma walijitokeza kufanya matembezi hayo.
NHC Mtwara walijitokeza kufanya matembezi hayo. Matembezi hayo kwa mkoa wa Mtwara yaliongozwa na Meneja wa NHC Mtwara, Angela Magazi.
NHC Kilimanjaro walijitokeza kufanya matembezi hayo.
NHC Mbeya walijitokeza kufanya matembezi hayo, yakiongozwa na Meneja wa Mbeya Saidi Bungara na Mama Sinda naye alikuwapo katika matembezi hayo ya mwisho wa Mwezi.
NHC Makao makuu walijitokeza kufanya matembezi yaliyoanzia jengo la makao makuu ya NHC Kambarage House kuelekea Barabara ya Barack Obama hadi Palm Beach na kuingia Barabara za Ali Hassan Mwinyi, Ohio, Kivukoni Front, Luthuli na baadaye kuelekea kwenye eneo kutakakokuwa na mazoezi ya viungo katika eneo la Sea View Beach (Dengu Beach).
Pichani mmoja wa washiriki Arden Kitomari akiwa anafurahia mazoezi.
Matembezi hayo yakiendelea eneo la Beach
NHC Tanga walijitokeza kufanya matembezi hayo, yakiongozwa na Meneja wa Tanga, Ramadhani Macha katika matembezi hayo ya mwisho wa Mwezi.
NHC Tabora walijitokeza kufanya matembezi hayo, yakiongozwa na Meneja wa Tabora, Dickson Ngonde katika matembezi hayo ya mwisho wa Mwezi.
NHC Singida walijitokeza kufanya matembezi hayo, yakiongozwa na Meneja wa Singida, Nistas Mvungi katika matembezi hayo ya mwisho wa Mwezi.
NHC Singida walijitokeza kufanya matembezi hayo, yakiongozwa na Meneja wa Singida, Nistas Mvungi katika matembezi hayo ya mwisho wa Mwezi.
NHC Singida walijitokeza kufanya matembezi hayo, yakiongozwa na Meneja wa Singida, Nistas Mvungi katika matembezi hayo ya mwisho wa Mwezi.
1 comment:
discover this high quality replica bags you can find out more best replica designer over here bag replica high quality
Post a Comment