Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi na Naibu wake; Angeline Mabula wakiwa na watendaji wa Wizara na Taasisi katika picha ya pamoja baada tu ya kupitishwa kwa bajeti ya Wizara ya Ardhi.
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakifuatilia kwa kina bajeti ya Wizara wizara hiyo ilipokuwa ikiendelea kujadiliwa mapema leo asubuhi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi na Naibu wake; Angeline Mabula wakiwa na watendaji wa Wizara na Taasisi katika picha ya pamoja baada tu ya kupitishwa kwa bajeti ya Wizara ya Ardhi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi na Naibu wake; Angeline Mabula wakiwa na watendaji wa Wizara na Taasisi katika picha ya pamoja baada tu ya kupitishwa kwa bajeti ya Wizara ya Ardhi.
No comments:
Post a Comment