Wednesday, November 02, 2011

Sikukuu ya Eid El Haji

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

YAH: SIKUKU YA EID EL HAJI

Tarehe 6 Novemba 2011 Jumapili ni sikukuu ya Eid El Haji sawa na mwezi 10 Dhul Hijja 1432.

Kwa mujibu wa Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Muhidini Mkoyongore, Swala ya Eid Kitaifa itaswaliwa katika Masjid Al Farouq iliyoko BAKWATA Makao Makuu, kuanzia saa 1.30 asubuhi ikifuatiwa na Baraza la Eid.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inawatakia waumini wote wa dini ya Kiislam Eid njema na yenye upendo, amani na utuivu.

1 comment:

mashaka said...

Mh kama ilikua julai o6 mbona watufakisha leo November

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...