Tuesday, May 24, 2011

Miss Universe ziarani Mwananchi



Mhariri wa habari wa gazeti la The Citizen, Peter Nyanje akiwapa maelezo washiriki wa shindano la Miss Universe jinsi gazeti hilo linavyokusanya habari wakati washiriki hao walipotembelea ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL), Tabata jijini Dar es Salaam jana. MCL ni moja wa wadhamini wa shindano hilo. Picha na Edwin Mjwahuzi

No comments:

KATAMBI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amekutana na Balozi wa Uingereza nchini,Marianne Young ambae aliambatana na Mkuu wa Usalam...