Sunday, August 22, 2010

Mgombea aahidi kujenga Machinga Complex



Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya CCM, Justine Salakana akihutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika juzi viwanja vya Manyema. (picha na Dionis Nyato).

1 comment:

Anonymous said...

TUAMBIE ROMBO ULIFANYA NINI 95 ILI TUKUPE HII NGOME YA CHADEMA. KWELI UNA KAZI MFUPA ULIOMSHINDA FISI MMBWA ATAWEZA? KAMUULIZE DADA YAKO MINDE ATAKUADISIA KAMA VP KAMSAIDIE KAKA YAKO MRAMBA HUKO KWENU ROMBO. MOSHI TOWN KUNA WENYEWE MIMI NAWAMBIA CCM NYIE SIMNALIBANIA JIMBO LA MOSHI MJINI KIMAENDELEO SASA KURA ZETU HAMZIPATI. FANYENI KWANZA MAENDELEO NDIO TUWAPE KURA HABARI ZA KUTUAMBIA NITA NITA HATUTAKI KAWAAMBIENI HAO MLIOZOEA KUWADANGANYA HUKU MOSHI WOTE WASOMI HAWADANGANYIKIIII

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...