Wednesday, December 13, 2017

RAIS MAGUFULI AFUNGUA RASMI NYUMBA ZA MAKAZI ZA IYUMBU SATELLITE CENTRE

 Rais Dk John Pombe Magufuli akifungua mradi wa Iyumbu Satellite Centre. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amefungua mradi wa Nyumba za Gharama nafuu Iyumbu Satellite Centre leo hii. Mradi huu una jumla ya nyumba 150 kwa awamu ya kwanza na zitafuata nyumba zingine 150 katika awamu inayofuata .
 Meneja wa Miradi ya Ubia, Subira Gudadi akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson wakati akiwasili katia eneo la mradi.
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akitia saini kitabu cha wageni wakati akiwasili katia eneo la mradi.
 Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba wakifuatilia ufunguzi wa mradi huo
 Bendi ya Muziki ya Mjomba ikiendelea kutumbuiza katika eneo la tukio
 Mrisho Mpoto akiburudisha katika hafla hiyuo iliyofanyika leo.

 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Mama Blandina Nyoni.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, Menyekiti wa Bodi ya NHC, Mama Blandina Nyoni, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Benilith Mahenge wakimsubiria Mheshimiwa Rais awasili.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Benilith Mahenge wakimkaribisha Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli
 Rais Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika eneo la ufunguzzi za nyumba za makazi Iyumbu.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Benilith Mahenge wakimkaribisha Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli
 Rais Magufuli akifuatilia baadhi ya mambo
 Baadhi ya wafanyakazi wa NHC wakifuatilia tukio hilo.
 Wananchi wakifuatilia tukio hilo la ufunguzi.
 Mkuu wa mkoa Benillith Mahenge akihutubia.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, na Mkuu akihutubia.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akihutubia.
 Rais Magufuli akihutubia katika ufunguzi huo

 Picha ya pamoja.
Rais Magufuli akisalimiana na Mshereheshaji wa shughuli hiyo Ephraim Kibonde.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...