Thursday, January 27, 2011

Migomo migomo tuuuu


Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMUCCO) cha chuo kikuu cha Tumaini, ya Masoka kilichopo Mwika Moshi Vijijini wakiwa wamegomea kuingia madarasani jana wakipinga kuchelewa kupatiwa mikopo na miundombinu duni ya majengo chuoni hapo. (picha na Dionis Nyato)

1 comment:

emu-three said...

MAMBO HAYOOO, YALE YALE YA TUNISIA, NA KESHO NASIKIA MISRI, HAPA KWETU BADO, NDIO NDOGONDOGO ZIMEANZA...

WABUNGE WAJENGEWA UWEZO WA HAKI MADINI NA HAKI ARDHI

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepatiwa mafunzo maalum kuhusu Sheria, Kanuni na Miongozo ya Sekta ya Madini, kwa lengo la...