Wednesday, December 01, 2010

Happy Birthday Dear First Lady Salma Kikwete



Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akilicharaza gitaa wakati alipowaongoza wanafamilia nyumbani kwake kumpongeza mkewe Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 47 jana.

4 comments:

emu-three said...

Happy birthday, na hongera sana!

zitto kiaratu said...

naona atacharaza sana gitaa miaka mitano ijayo, jinsi nchi inavyokuwa masikini kila siku toka alipoanza mkapa 1995. jk una safari ndefu mwe, ungetupa uhuru wetu wa kuchagua atakae tufaa, umeamua kuchukua urembo/ufisadi,toka 2005 nilijua utakuwa rais mastaili tuu, hakuna kipya umeleta!!! kaunda wa zambia alicharaza gitaa miaka ya sabini na themanini yakamshinda!!!!

Anonymous said...

uchaguzi huu jk amekuwa laurent ghabo wa ivory coast na dr slaa amekuwa allassanne bila ushahidi wa umoja wa mataifa, vyombo vyote vya habari nje vinsema uchaguzi halali haukufanyika Tanzania, sasa ni juu yetu sisi wabongo tuamue kuvumilia utawala huu wa haramu au tuanze mapinduzi!!!

Anonymous said...

Sehr guter Beitrag.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...