Tuesday, July 18, 2006

Ruaha Mkuu umekauka



Pichani unaweza kuona mawe yaliyochomoza yaliyokuwa mapito ya maji ya mto Ruaha Mkuu, Iringa. Mto huu unazidi kupungua sijui kama mgao wa umeme utakwisha picha hii ni ya Julai 16.

Madhari kavu



Tandala sio mbali na ilipo Ruaha National Park, huku ni wanyama tu. Zote hizi tunazo bado tunalia umasikini.

No comments:

UCHUMI WA TAIFA UNATEGEMEA UHIFADHI ASEMA MCHECHU AKIZINDUA GREAT RUAHA MARATHON 2026

RUAHA, IRINGA – Msajili wa Hazina na Mlezi wa Great Ruaha Marathon , Bw. Nehemiah Mchechu , ambaye alimwakilisha Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu w...