Wednesday, March 09, 2011

Siku ya wanawake duniani



Wanamuziki wa bendi za The African Stars na Msondo Ngoma baba ya muziki wakitumbuiza jana katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kuadhimisha miaka 100 inayofanyika kila mwaka March 8.


Siku ya Wanawake Duniani ilianza kuadhimishwa mwaka 1911 wakati makundi ya wanawake nchini Marekani yalipokusanyika na kupinga udhalilishaji, ukandamizaji, uonevu na ubaguzi wa kijinsia hususani sehemu za kazi. 


No comments:

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya mazungumzo na  Fitch Ratings Ltd  amb...