Wednesday, September 19, 2012

JK AWEKA RASMI JIWE LA MSINGI UJENZI MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA JIJINI DAR


.
Rais Kikwete akiwa kwenye moja ya vifaa vya kisasa vitakavyotumika kujenga barabara hiyo mara baada ya kuzindua jiwe la msingi.

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete akizindua Jiwe la msingi la mradi wa Ujenzi wa mabasi yaendayo haraka barabara ya Morogoro leo jijini Dar es Salaam. Ujenzi hua utakao anzia Feli hadi Kimara kwa kuunganisha na barabara ya Kawawa kunzia Magomeni hadi Moroko ni waumbali zaidi ya Km21.

No comments:

TANZANIA NA ZIMBABWE ZASAINI MAKUBALIANO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA

Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) na Chemba ya  Biashara ya Taifa la Zimbabwe (ZNCC) wamesaini hati ya makubaliano (MoU...