Thursday, October 30, 2014

VIONGOZI WA MSONDO WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU


D92A1998Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha na Freddy Maro).D92A1988Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja  na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha na Freddy Maro).

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA


D92A1608Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya tutmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam .D92A1654Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya tutmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam .D92A1782Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya tume ya Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.D92A1837Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa tatu kushoto) pamoja na makatibu wakuu Kiongozi wastaafu Matern Lumbanga(kulia) na Philemon Luhanjo(kushoto)(picha na Freddy Maro)

Delloite Touche wawapiga msasa Mameneja na Wakurugenzi wa NHC juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika

Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw Felix Maagi ambaye pia alikuwa akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina kwa Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa iliyotolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho
 Washiriki wa Semina hiyo Omari Makalamangi (wa kwanza kulia), Humphrey Kishimbo (anayefuata), Michael Chilongani, Veneranda Seif na Subira Gugadi aliyeshika tama wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho

 Washiriki wa Semina hiyo Adolph Kasegenya (wa kwanza Kushoto),  Michael Chilongani, wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho
 Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw Felix Maagi na Adolph Kasegenya (wa kwanza Kushoto) na Omari makalamangi wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho
 Richard Ndeona, Commercial Manager kushoto sambamba na Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Tanga, Nyuma yao ni Ramadhani Macha Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Shinyanga wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche.
Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Fatma Chillo (Kulia), Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utawala wa Mikoa wa Shirika la Nyumba la Taifa, Raymond Mndolwa, Meneja wa Huduma kwa Jamii, Muungano Saguya na Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Dodoma, Itandula Gambalagi wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho.

Veronica Mtemi Msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa akibadilishana mawazo na Meneja Miradi Samuel Metili huku Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Mtwara, Joseph John , Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Benedict Kilimba na Meneja wa Huduma za Sheria wa Shirika la Nyumba la Taifa, Elias Mwashiuya wakishuhudia wakitoka ndani ya ukumbi wa mkutano.
 Maandalizi ya kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa yakiwa yanaendelea, pichani linaonekana bango linaloelekeza Baraza hilo ambalo litafanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe Mosi hadi 2 Novemba kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort.
 Washiriki wakiendelea na semina
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Wataalamu Washauri wa Delloite Touche akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina kwa Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa iliyotolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho
 Msanifu wa Miradi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Daniel Mziray (wa kwanza kulia), Msanifu Mkuu wa Majengo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Daudi Kondoro, Meneja wa NHC mkoa wa Katavi, Nehemia Msigwa, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Mtwara, Joseph John, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Tabora, Erasto Chilambo, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Arusha, James Kisarika, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Mbeya , Anthony Komba wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche.
Julius Ntoga wa Shirika la Nyumba la Taifa, Meneja wa NHC Ilala, Jackson Maagi wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche.

TAARIFA YA KIFO CHA MEJA JENERALI AI MFUSE

unnamed
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange anasikitika kutangaza kifo cha Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse (mstaafu) kilichotokea tarehe 29 Oktoba 2014 katika Hospitali ya Appolo nchini India alikokuwa akipata matibabu.
Mwili wa marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse (mstaafu) unatarajia kuwasili Tanzania tarehe 31 Oktoba 2014 saa 7:30 mchana na kuhifadhiwa katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo. 
Heshima za mwisho kwa Viongozi, Wanajeshi na Watumishi wa Umma zitatolewa katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo tarehe 01 Novemba 2014, kuanzia saa 4.00 hadi saa 5.00 asubuhi na mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi, ambapo mazishi yanatarajiwa kufanyika tarehe 02 Novemba, 2014 saa 8.00 mchana.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to Her Excellency Dilma Rousseff on the occasion of her re-election as President of the Federative Republic of Brazil

 H.E. Dilma Rousseff, President of Brazil
--
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 
 MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION 
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to Her Excellency Dilma Rousseff on the occasion of her re-election as President of the Federative Republic of Brazil.

The message reads as follows.

“Her Excellency Dilma Rousseff
  The President of the Federative Republic of Brazil,
  Brasilia,

 

  BRAZIL.

I have received with great pleasure the news of your re-election to the highest office of your country. On behalf of the Government and people of the United Republic of Tanzania and indeed on my own behalf, I wish to convey my sincere and warmest congratulations to You and through you to the Government and the people of the Federative Republic of Brazil for your election to the Presidency of Brazil.

Your re-election is a sign of the trust and confidence that the people of Brazil have in your leadership qualities. As you continue discharging the noble duties bestowed upon you, I would like to assure Your Excellency of my continued co-operation in further strengthening the bilateral relations that so happily exist between our two countries.

Please accept, Your Excellency, my personal regards and best wishes for your continued good health and success”.


ISSUED BY: 
THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES SALAAM
29TH OCTOBER, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE NCHINI OMAN

 Moja ya barabara za jiji la Muscat, Oman
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtenda wa Shirika la Maendeleo ya Petroli la Oman (PDO), Bw. Raoul Resticci baada ya kuwasili kwenye makao makuu ya Shirika hilo ili kujifunza shughuli za uwekezaji na uvunaji wa gesi na mafuta . Alikuwa katika ziara ya kikazi nchi OmanOktoba 28, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na baadhi ya mabalozi wanaowakilisha wa nchi mbalimbali  nchini   Oman katika dhifa aliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyid Fahad Al Said (kulia) kwenye hoteli ya Al Bustan  mjini Muscut Oktoba 29, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyi Fahad Al Said   (kushoto kwake) wakizungumza na balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh katika dhifa aliyoandaliwa Waziri Mkuu kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 28, 2014. Wapili kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus kamani na watatu kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maalim Mahadhi.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutembelea msikiti wa Sultan Qamboos Grand uliopo Muscut ambao ni kati ya misikiti mikubwa na inayovutia duniani Octoba 29, 2014. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa serikali ya Oman, Ahmed Bin Salim Al Harthy.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa serikali ya Oman, Ahmed Bin Salim Ali Harthy zawadi ya kitabu kinachoonyesha Msikiti wa Sultan Qamboos Grand uliopo Muscut baada ya kuutembelea msikiti huo akiwa katika ziara ya kikazi nchini Oman, Oktoba 29, 2014
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  akipokea  kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Uhusiano wa Serikali ya Oman, Ahmed Bin Salim Al Harthy zawadi  ya kitabu baada ya kutembelea msikiti wa Sultan Qamboos Grand wa Muscut ambao ni kati ya misikiti mikubwa na yenye kuvutia duniani.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mmoja wa wafanyabiara wa Oman wanaokusudia kuwekeza Tanzania, Sheikh Abdullah Al- Zakwani baada ya kikao chake na wafanyabiashara wa Oman kwenye hoteli ya Al Bustan, Muscut Oktoba 29, 2014.
 Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Uhusiano wa Serikali ya Oman , Ahmed Bin Salim Al Harthy baada ya kutembelea  Msikiti wa Sultan Qaboos Grand uliopo Muscut ambao ni moja kati ya misiki mikubwa na yenye kuvutia sana dunianiOktoba 29, 2014. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.Yuko katika ziara ya kikazi nchini Oman

HATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA KATIKA KESI YA MADAWA YA KULEVYA

Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu.
Akifungua mlango wa gari lililokuwa likimsubiri.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’amepata dhamana mapema JANA katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa…

HESLB NA ADAPT IT ZAINGIA MAKUBALIANO RASMI

Dar es Salaam, Jumatatu, Disemba 08, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeingia katika hatua nyingine ya mageuzi ya k...