Friday, September 30, 2016

DC MWILAPWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MAJI KUHUSU MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA


Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama akzingumza wakati wa kikao hicho cha wadau

Wananchi wa Jiji la Tanga wakiongozwa na madiwani wao waki fuatilia kikao hicho kwa umakini mkubwa katikati ni Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga ,Mohamed Haniu
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga,Mustapha Selebosi akiuliza swali kwenye mkutanohuo uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta mjini hapa

Diwani wa Kata ya Msambweni (CUF)Abdurahamani Hassani akiuliza swali kwenye mkutano huo
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga
(Tanga Uwasa)Dorah Ilo kulia aakiteta jambo na Afisa Tarafa Suleimani
Zumo wakati wa kikao hicho cha wadau
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)Dorah Ilo akifuatilia hoja mbalimbali zilizokuwa zikijiri kwenye kikao hicho
Kushoto ni Maafisa wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini na wananachi wakifuatilia kikao hicho wa kwanza kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Mteja wa Mamlaka hiyo,Mohamed Pima

Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisaliana na Afisa Tarafa,Suleiman Zumo kabla ya kufungua mkutano huo katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi

Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga (CCM)Mustapa Selabosi kabla ya kuanza kikao hicho katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga Uwasa)Haika Ndalama
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kikao hicho
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Thursday, September 29, 2016

NHC YAKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA TOFALI KWA VIJANA BUKOBA

 
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.                                                       
nhc2Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bi.Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) wakati wa kukabidhi mashine za kuengenezea matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.      nhc4
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.      
nhc5
B
aadhi ya mashine zilizotolewa kwa vijana hao
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari (kulia) wakati wa kukabidhi mashine za kuengenezea matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.      

 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari wakati wa kukabidhi mashine za kuengenezea matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari wakati wa shughuli ya makabidhiano ya mashine hizo.
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akiwakabidhi viongozi wa vikundi vya vijana matofali kama ishara ya makabidhino wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.            
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.            

Wednesday, September 28, 2016

Hotuba Ya Rais Dkt. Magufuli wakati wa Uzinduzi Wa Ndege mpya jijini Dar es salaa

NMB WAZINDUA CHIPUKIZI AKAUNTI NA PROGRAMU YA SHULE DIRECT JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Mkuu wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Gebo Lugano akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa Proramu ya Shule Direct katika shule hiyo  ambayo itawasaidia wanafunzi kujifunza kwa kutumia Mtandao wa www.shule Direct.co.tz ambapo wanafunzi watajisomea masomo yao kupitia mtandao huo.

Wakati huo huo imezinduliwa akaunti ya ya NMB chipukizi akaunti kwaajili ya wanafunzi pamoja watoto wenye umri wa kuanzia miaka 14 kwaajili ya kujiwekea akiba ikiwa mprogramu hiyo imeanzia katika shule ya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo.
Maneja mwandamizi wa amana, huduma za ziada na bima wa Benki ya NMB, Stephen Adil akizungumza na wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa benki ya NMB waliohudhulia katika uzinduzi wa programu ya Shule Direct jijini Dar es Salaam leo katika shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa waliohudhulia katika kuzinduzi wa Shule Direct pamoja na NMB chipukizi akaunti ambapo baadhi ya wanafunzi wamefungua akaunti wakati huo huo.
 Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu akizungumza wakati wa kuzindua Shule Direct ambapo wanafunzi watatembelea mtandao wa www.shuledirect.co.tz kwaajili ya kujifunzia masomo mbalimbali ambapo wanafunzi watatembelea mtandao huo  kwaajili ya kujifunza masomo mbalimbali. 
 Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa Shule Direct kwa wanafunzu wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo, amewaasa wa wanafunzi kusoma kwa kutumia mtandao wa www.shule.co.tz kwaajili ya kujifunza zaidi masomo yao na si kutembelea mitandao mingine ambayo haihusiana na masomo yao.
Pia amewaasa kujiwekea akiba zao kupitia akaunti ya Chupukizi ya NMB kwa pesa kidogokidogo wanazopewa na wazazi wao ili ziwafaidisha baadae na si kutumia pesa hovyo.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde,  Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu,  pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NMB pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa wakiangalia programu ya Shule Direct jinsi inavyofanya kazi.


 Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde,  Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu na wafanyakazi wa NMB wapewa Maelekezo na Mtaalamu wa Kompyuta wa Programu ya Shule Direct, Erick Kondela wakati wa uzinduzi wa Programu ya Shule Direct katika shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini  Dar es Salaam leo. 
Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu akifafanua jambo kwa wafanyakazi wa benki ya NMB na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde wakati walipotembelea Darasa la Shule Direct katika shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo.
 Mtaalamu wa Kompyuta wa Programu ya Shule Direct, Erick Kondela akiwasimamia baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo.
 Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde,  Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kuzindua programu ya Shule Direct katika shule hiyo.
 Baadhi ya wanafunzi wakipokea zawadi baada ya kujibu maswali vizuri.
Picha ya Pamoja  baada ya kupata zawadi.

Baadhi ya wanafunzi wakifungua akaunti ya chupukizi ya NMB jijini Dar es Salaam leo

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI NDEGE MBILI MPYA ZILIZONUNULIWA NA SERIKALI KWA AJILI YA ATCL JIJINI DAR LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na maafisa na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuoli akimshukuru Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles baada ya kukata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiingia kwenye ndege mojawapo baada ya kukata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na maafisa wengine waandamizi wakiwa kwenye ndege mojawapo baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoka kwenye ndege mojawapo na kuelekea ingine baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza mmoja wa wafanyakazi kwenye ndege mojawapo baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe akishuka kwenye ndege mojawapo baada kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe Isaya Mwita akishuka kwenye ndege mojawapo baada ya Rais Magufuli kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe Isaya Mwita na Meya wa Halmashuri ya Manisapaa ya Temeke Mhe Abdallah Chaurmebo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Sophia Mjema wakijiandaa kupiga picha ya kumbukumbu mara baada ya Rais Magufuli kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wengine waandamizi katika picha ya kumbukumbu na watumishi na viongozi wa ATCL mara baada ya Rais Magufuli kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wengine waandamizi katika picha ya kumbukumbu na Brass band ya Polisi mara baada ya Rais Magufuli kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli wakiagana na wafanyakazi wa ATCL baada ya uzinduzi rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam leo Jumatano Septemba 28, 2016. PICHA NA IKULU

Dk.Kigwangalla afanya ziara Hospitali za Wilaya ya Mlele na Mpanda Mkoani Katavi

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Chifu Kayamba wa Pili wa Kabila la Wakonongo. Wakati wa kupokelewa alipowasili ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Mlele,Mkoani Katavi.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na baadhi ya viongozi na watendaji wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Mkoani Katavi.
Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Bi.Rachel Kasanda akisoma taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla (katikati).
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na watendaji wa Wilaya ya Mlele.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na madaktari wa hospitali ya Mlele.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua moja ya vifaa katika chumba cha Maabara ya hospitali ya Mlele.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitembelea katika viunga vya hospitali ya Mlele.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maagizo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua jengo la chumba cha Upasuaji wa hospitali ya Mlele.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua jengo linalojengwa la chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Mlele
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na watumishi wa Hositali ya Mpanda.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua stoo ya dawa ya hospitali ya Mpanda.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maagizo katika chumba cha Maabara ya Hospitali ya Mpanda.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na wananchi (Hawapo pichani) wakati wa ziara yake hiyo katika Hospitali ya Mpanda.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maagizo kwa uongozi wa Hospitali ya Mpanda juu ya kufanyia marekebisho mapungufu yaliyobainika.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Mlele na kutembelea Hospitali ya Mlele ya Wilaya hiyo pamoja na Hospitali ya Mpanda iliyopo Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi huku akitoa maagizo mbalimbali ya kiutendaji.

Katika ziara yake katika Hospitali ya Mlele, Dk.Kigwangalla amewaagiza viongozi wa Serikali wa Wilaya na ule wa Hospitali hiyo kuhakikisha wanakamilisha mambo muhimu ikiwemo ujenzi wa chumba cha upasuaji, jengo la kuhifadhia mahiti na vitu vingine huku akitaka ndani ya miezi mitatu view vimekamilika.

Akiwa katika Hospitali hiyo ya Mlele, Dk.Kigwangalla ameweza kutembelea sehemu mbalimbali za hospitali pamoja na kukagua ujenzi wa majengo ya Chumba cha upasuaji, chumba cha kuhifadhia maiti na majengo mengine ambapo amemtaka Mkuu wa Wilaya kuhakikisha wanafanya juhudi wanakamilisha kwa wakati majengo hayo ili wananchi wapate huduma bora.

Kwa upande wa ziara yake hiyo katika Wilaya ya Tanganyika yaliyopo makao makuu ya Mkoa wa Katavi, Dk. Kigwangalla ameweza kutembelea Hospitali ya Mpanda ambayo kwa sasa inahudumia kama Hospitali ya Mkoa ambapo napo ameagiza kufanyiwa marekebisho mbalimbali ikiwemo kuzingatia masuala usafi.

Aidha, ametoa maagizo kuhakikisha wanafunga mfumo wa malipo wa kisasa katika vyanzo vyote vya mapato ili kukusanya pesa nyingi zaidi zitakazoweza kuendesha huduma za Afya ndani ya Hospitali hiyo.