Thursday, August 13, 2015

NHC YAWAKILISHA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA DAR

Wadhamini wa kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam. 
 Timu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ikiwa katika banda la maonyesho la Shirika ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko, Tuntufye Mwambusi ambao pia wadhamini wa kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam. 
Timu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ikiwa katika banda la maonyesho la Shirika ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko, Tuntufye Mwambusi ambao pia wadhamini wa kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam. 
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe akifuatilia maelezo kutoka kwa maafisa wa Shirika la Nyumba la Taifa katika banda la maonyesho la Shirika kwenye kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam. 
Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko, Tuntufye Mwambusi akimpa maelezo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye banda la maonyesho la Shirika lililopo nje ya kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam. 
Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko, Tuntufye Mwambusi akimpa maelezo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye banda la maonyesho la Shirika lililopo nje ya kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam. Diaspora toka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora 2015 lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam Kutoka kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Bi. Agnetta Kamgisha na Mariam Kalala Nyang'oro kutoka Jumuiya ya Watanzania North Carolina. Picha ya Vijimambo Blog
Watanzania wakiwakilisha Diaspora kutoka Marekani wakihudhuria 
Watanzania wakiwakilisha Diaspora kutoka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel jijini Dar. Kutoka kushoto ni Agnetta Kamgisha, Mariam Kalala Nyang'oro na Asha Nyang'anyi kutoka DMV. Picha ya Vijimambo Blog

Post a Comment