Tuesday, December 30, 2014

LORI LA MAFUTA LAPATA AJALI MBAYA TANGA

Lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga nguzo ya umeme maeneo ya Amasia huko Handeni mkoani Tanga leo.…
Lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga nguzo ya umeme maeneo ya Amasia huko Handeni mkoani Tanga leo.Wananchi wakishuhudia moto mkubwa uliozuka katika ajali hiyo.
(PICHA ZOTE NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)

SIMBA YAFUKUZA MAKOCHA PHIRI NA MATOLA

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri.
Waliokuwa makocha wa Simba Patrick Phiri na Kocha msaidizi, Selemani Matola (kushoto) wakifuatilia mazoezi


Klabu ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya timu. SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS

MBUNGE WA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KATIKA KATA MBALIMBALI


Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiwasikiliza Viongozi wa CCM wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge Kufanya Ukaguzi hiyo Na Kuahidi kutoa Msaada wa Bati 100 Kwajili ya Kumalizia Ujenzi wa Ofisi hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akitoa maagizo kwa Mtendaji wa Kata ya Konga Kutafuta Eneo la Ujenzi wa Shule Hiyo haraka Iwezekanavyo.Mh Abood amemuagiza Mtendaji huyo ndani ya mwezi
Mmmoja wa amepata Eneo la Ujenzi wa Shule na Ujenzi Uanze Mara Moja Ambapo Mh Mbunge Amechangia Shilingi Milion 5 za Kuanza Ujenzi Huo .
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiongea na Wato wa Kata ya Kauzeni  mara baad ya Kuwasili katika Kata hiyo kwajili ya Kusikiliza Kero Zinazowakabili wakazi wa Kata Hiyo.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya kauzeni walioudhuria Mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini.


Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akisisitiza Jambo wakati akielezea Namna ya Kutatua Kero kubwa ya Maji Inayowakabili wakazi wa Kata ya Kauzeni Iliyopo Manispaa ya Morogoro Ambapo Mh Aziz Abood Ametoa Million 5 Kwajili ya Kutekeleza Mradi wa Maji wa Kata Hiyo Ili Kutatua Kero Hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akitoa Onyo wa Watendaji wa Kata za Jimbo la Morogoro Mjini Kutumia Fedha Zinazoletwa katika Kata Hiyo kwa Maendeleao ya wananchi lasivyo Watakiona kwa wale watakaofuja  Fedha za Wananchi.
Bi Asha Ally akieleza Kwa Uchungu Kero Kubwa ya maji Inayowakabili wakazi wa Kata ya Kuuzeni.


Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiandika Kero za wananchi wa kata ya Kauzeni Mara baada ya Kuwapa nafasi wa kata Hiyo kueleza Kero zao.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikabidhi vifaa vya Michezo wa Timu ya kata ya Kauzeni kwajili ya Kuendeleza Michezo ndani ya kata hiyo
Wachezaji wa Timu ya Mzinga ya Morogoro wakimsikiliza  Kwa makini Mbunge wa Morogoro Mjini alipowatembelea .
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akikabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu ya Mzinga ya Morogoro akiwa kama Mdau Mkubwa wa Michezo hasa Mpira wa Miguu
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea na wandesha bodaboda kutoka kata ya mzinga namna wanavyokabiliwa na changamoto zinazowakabilikatika biashara yao.

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MKE WA JAJI ANTONY BAHATI


Mwalimu Laurentia Bahati enzi za uhai wake.
Kitabu cha kumbukumbu.
Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.
Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.
Baadhi ya wanafunzi waliowahi kufundishwa na marehemu mwalimu Laurentia Bahati wakimfariji mtoto wa marehemu, Angela Bahati (kushoto).
Mwalimu Omari akimpa pole jaji mstaafu, Antony Bahati kwa kufiwa na mke wake.
Waombolezji wakipata chakula.
Wakati wa chakula.
Wakati wa chakula.
Wanafamilia  na waombolezaji wengine wakiwa nyumbani kwa marehemu, Oysterbay.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu.
Wanafamilia.
Wanafamilia.
Jaji Bahati (katikati) akiwa na watoto wake.
Picha ya marehemu.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya wanafunzi waliofundishwa na mwalimu Laurentia Bahati enzi za uhai wake wakitoa heshima za mwisho.
Watoto wa marehemu wakitoa heshima za mwisho.
Mtoto wa marehemu, Angela Bahati akitoa heshima za mwisho.
Mtoto wa marehemu, Thomas akitoa heshima za mwisho.
Mtoto wa marehemu, Angela Bahati akiwa na mtoto wake, Antony.
Waombolezaji wakiwa kanisani.
Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (katikati) akiwa na waombolezaji wengine.
Jaji mstaafu, Antony, Bahati akiweka shada la maua katika kaburi la mke wake, Laurentia Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni.
Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi akiweka shada la maua.
Jaji mstaafu Antony Bahati akiondoka makaburini baada ya mazishi ya mke wake, Laurentia Bahati 
Watoto wa marehemu wakiwa katika picha ya pamoja.
Jeneza likishushwa kaburini.
Jaji mstaafu, Antony Bahati akiweka udongo katika kaburi la mke wake, marehemu Laurentia Bahati 
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo akiweka shada la maua pamoja na mke wake.
Mtoto wa marehemu, Angela Bahati na mume wake wakiweka shada la maua.
Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva.
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja.
Wajukuu wa marehemu wakiweka mashada ya maua.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Charles Kitwanga (kulia) akiwa na baadhi ya walimu waliowahi kufanyakazi na marehemu enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiwa nyumbani.
Wanafamilia wakiwa Kanisani.
Jaji Mark Bomani (wa pili kushoto) akitoa heshima za mwisho.
Padri Kizito Ngogoti SAUT-Mwanza akibariki Kaburi la marehemu Laurentia Bahati ambaye alikuwa mke wa Jaji mstaafu, Antony Bahati wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva (kushoto) akimpa pole Jaji mstaafu, Antony Bahati wakati wa mazishi ya mke wake, Laurentia Bahati yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wanafamilia, Abdul Njaidi akitoa utaratibu wakati wa ibada ya mazishi. 
Padri akiweka maji ya baraka katika jeneza la marehemu Laurentia Bahati.