Wednesday, July 27, 2011

Safari ya Mwisho ya Marehemu Danny Mwakiteleko


Gari la Mhariri wa gazeti la Rai na Naibu Mhariri Mtendaji wa New Habari, Danny Mwakiteleko, Danny alipata ajali Jumatano Julai 20, 2011 eneo la Tabata (ToT) na kukimbizwa katika Hospitali ya Amana, Ilala na baadaye Muhimbili.Katika ajali hiyo gari alilokuwa akiendesha Danny liligongwa na lori lenye trela, ambalo lilitoweka bila kujulik...ana saa nne usiku. Mwakiteleko alikuwa akitokea kazini Sinza ambako alifanya kazi hadi saa tatu usiku.—

Mwili wa Marehemu Danny Mwakiteleko ukihifadhiwa kaburini tayari kwa safari ya mwisho ya marehemu.


Misa ya kumwombea Marehehemu Danny Mwakiteleko ilifanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Ndala. Na baade maziko kufanyika katika makaburi ya Masebe 1 kijijini Ndala, Kata ya Kandete, Tarafa ya Busokelo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Danny alifariki Julai 23 kwa ajali ya gari na kuzikwa leo Julai 26, 2011.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amen.


Watoto wa Marehemu Danny Mwakiteleko Vanesa kulia na Caroline kushoto pamoja na mama yao anayeonekana kufarijiwa wakionekana wenye simanzi kubwa katika mazishi ya mpendwa baba yao.
Kwa
Habari zaidi waweza kubonya hapaUpate tukio hilo kwa kina.

Monday, July 18, 2011

Umeme wa Mtera nomaa kweli kweli


Mhandisi Mkuu Mwendeshaji wa kituo cha kuzalisha umeme cha Mtera, Julius Chomolla akiwaeleza waandishi wa habari jinsi kina cha maji kilivyopungua katika bwawa la Mtera na kusababisha uzalishaji wa umeme kupungua, walipotembelea kituo hicho kiilichopo mpakani mwa mkoa wa Dodoma na Iringa.

Wednesday, July 06, 2011

Tanzanians Celebrate U.S. Independence Day at Ambassador's Residence


(From right to left) U.S. Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt; Zanzibar's Minister of State in the Office of Second Vice-President, Mohamed Aboud Mohamed; Minister for Industry, Trade and Marketing, Dr. Cyril Chami; Zanzibar 's Minister for Livestock and Fishing, Said Ali Mbarouk; the guest of honor, Tanzania's Minister of State for Union Matters Ms. Samia Suluhu Hassan; and Head of Europe Section at the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation Mr. Mawazo P. Kaducha at the reception in honor of the 235th anniversary of the U.S. Independence and fifty years of American diplomatic relations with independent Tanzania. The reception held at Ambassador Lenhardt's residence in Dar es Salaam on June 30, 2011, was an occasion to celebrate the ever-growing friendship and partnership between the two countries forged by Mwalimu Julius Kambarage Nyerere and U.S. President John F. Kennedy.

Mzee wa Mshitu kazini



Mzee wa Mshitu akiwa akiwa kazini.

Tuesday, July 05, 2011

Diamond akitumbuaiza na bibie Wema Sepetu



Msanii wa bongo flava Diamond akitumbiza na muigizaji Wema Sapetu wakati wa tamasha la muziki la fiesta lililofanyika uwanja wa Jmahuri mkoani Morogoro juzi. Picha Juma Mtanda.